๐Ÿ”’ Sera ya Faragha โ€” Vendor Console

Yamesasishwa mwisho: Septemba 2026 ยท Msimamizi wa console hii: LETEMA GROUP TECH HQ

1. Taarifa tunazokusanya

2. Tunazitumia kwa nini

Kutoa na kusimamia leseni, kuzuia matumizi mabaya, kutoa msaada kwa wateja, na kuwasiliana kuhusu huduma. Hatuuzi taarifa zako.

3. Zinahifadhiwa wapi na nani anaziona

4. Muda wa kuhifadhi na haki zako

Rekodi zinahifadhiwa maadamu mteja/Reseller ana mkataba hai, na baada ya hapo kwa muda unaohitajika kisheria/kihasibu. Unaweza kuomba kusahihishwa au kufutwa kwa taarifa zako binafsi kwa kuwasiliana na msimamizi wa console. Tunazingatia kanuni za ulinzi wa taarifa binafsi za Tanzania.

5. Usalama

Tunatumia muunganisho wa HTTPS, nywila za hash, funguo za siri tofauti kwa kila mteja, na kikomo cha majaribio ya kuingia. Hakuna mfumo usio na hatari kabisa; ukiona shughuli isiyo ya kawaida, toa taarifa mara moja kupitia Msaada.

6. Mawasiliano

LETEMA GROUP TECH HQ: 255620642652/255695599910/255723233141 letemaalexander3002@gmail.com

โ† Masharti ya Matumizi